3 years ago

habari tz kutoka dodoma

mh. job ndugai achaguliwa kuwa spika wa bunge wa bunge la 11, chini ya uongoz wa dk. john p magufur! Na baada ya kuapishwa alianza mara moja kutekeleza wajibu kwa kuwaapisha baadhi wawakilishi wa wananchi! Akiwemo jaji mkuu wa serikali George Masaju read more...

3 years ago

advertisement

pata habari za kila aina kutoka sehemu mbalimbali za dunia! read more...